Azam FC yazindua nembo mpya

0
653

Klabu ya soka ya Azam FC ya mkoani Dar es Salaam imezindua nembo mpya itakayotumiwa na timu huyo kuanzia sasa.

Uzinduzi wa nembo hiyo umeshuhudiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa.

Azam inajiandaa na mechi za mzunguko wa awali za Kombe la Shirikisho barani Afrika ambapo itakutana na Horseed FC ya Somalia.