Hukumu ya Yanga na Morrison muda wowote

0
218

Kesi ya Yanga dhidi ya Benard Morrison iliyokuwa inasikilizwa leo Mahakama ya Usuluhishi wa Kimichezo (CAS) imemalizika na hukumu itasomwa Agosti 24, 2021

Kesi ya msingi Morrison anadaiwa kuwa na mkataba na Yanga kwa miaka miwili, huku yeye akisema hana mkataba na timu hiyo.

TBCOnlineUpdate