WAZIRI MKUU AFANYA MAZUNGUMZO RABAT

0
245

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye anaendelea na ziara yake nchini Morocco, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo jijini Rabat.