Tanzia: Mwandishi wa Habari Mkinga Mkinga Afariki

0
201

Mwandishi wa Habari Mkinga Mkinga, ambaye alikuwa mmoja wa Wahariri wa gazeti la Jamhuri amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.

Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi, Amina.