Msanii Grace Mapunda afariki dunia

Msanii wa sanaa ya filamu na maigizo nchini, Grace Mapunda maarufu Tessa ambaye amekuwa akishiriki katika igizo la HUBA afariki dunia.