Simulizi: Jamii ambayo inajiandalia mazishi wakiwa hai

0
628

Wakati jamii moja inaweza kuona jambo fulani, jamii nyingine inaweza kuona jambo hilo hilo linafaa na ni sehemu ya maisha yao.

Jamii huko Serbia imekuwa na utamaduni wa kujiandalia mazishi wakiwa hai, ambapo hueleza namna ambavyo wanataka mazishi yao yawe, ikiwa ni pamoja na aina za maua, eneo la maziko, muziki na vingine.

Hapa chini simulizi kutoka nchini humo;