Dkt. Mduma kuiongoza tena bodi CMSA

0
128

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. John Mduma kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA).

Dkt. Mduma ameteuliwa kushika wadhifa huo kwa kipindi cha pili baada ya kipindi cha kwanza kumalizika.

Uteuzi wa Dkt. Mduma umeanza leo tarehe 24 Aprili, 2021.