Pombe, vyakula chanzo cha matatizo ya figo

0
455

Daktari bingwa wa magonjwa ya figo amesema kuwa unywaji wa pombe kwa kiasi kikubwa na vyakula vya mafuta ni miongoni mwa sababu zinazochangia matatizo ya figo.

Akizungumza kupitia TBC Aridhio, Dkt. Linda Ezekiel amewaasa Watanzania kutotumia kiasi kikubwa cha pombe, kunywa maji ya kutosha na pia kula nyama nyeupe ambayo ni pamoja na kuku na samaki.

Fuatilia mazungumzo hayo hapa chini akieleza kiundani kuhusu hilo;