Mzee Jengua afariki dunia

0
199

Msanii mkongwe wa filamu nchini Mohammed Fungafunga maarufu kama Mzee Jengua, amefariki dunia asubuhi ya leo huko Mkuranga mkoani Pwani.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa Mzee Jengua alikuwa akisumbuliwa na kiharusi.