UTEUZI WA WAKUU WA MIKOA ZANZIBAR.

0
216
  1. Idrissa Kitwana Mustafa, ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi.
  2. Ayoub Mohammed Mahmoud, ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  3. Rashid Hadid Rashid, ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja.
  4. Salama Mbarouk Khatib, ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba.
  5. Mattar Zahor Masoud, ameteuliwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba.

Uteuzi huo umeanza leo Jumanne, Disemba 01, 2020.