Serikali yachukua hatua kudhibiti bei ya saruji

0
419

Ludovick Nduhiye, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara amesema kuwa sababu za saruji kupanda bei ni pamoja na kuendelea kutekelezwa kwa miradi ya maendeleo kama vile bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere.

Akizungumza na TBC amesema kuwa bwawa hilo linatumia kati ya tani elfu 10 hadi tani 20 kwa mwezi, hivyo kupelekea kiwango kikubwa cha saruji kwenda huko.

Msikilize hapa chini akitoa ufafanuzi wa sakata la kupanda bei kwa bidhaa hiyo muhimu;