Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, hafla inayofanyika katika Uwanja wa Amani.
Dkt. Mwinyi anaapishwa leo baada ya kupata ushindi wa asilimi 76.27 katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020.