Donald Trump na mkewe wakutwa na Corona

0
297

Rais wa Marekani, Donald Trump amethibitisha kuwa yeye na Mkewe Melania Trump wamekutwa na maambukizi ya virusi vya corona.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Trump ameandika “Usiku wa leo Mimi na Mke wangu tumebainika kuwa na corona, tutaanza kujitenga(Karantini) na mchakato wa kupona mara moja, tunaamini hili nalo litapita na tutaondokana nalo kwa pamoja”