Aliyekuwa wakili wa Rais wa Mstaafu wa Afrika Kusini, Hayati Nelson Mandela, amefariki dunia nchini humo akiwa na miaka 92.
George Bizos alijizolea umaarufu kwa kutetea haki za raia wa Afrika Kusini dhidi ya ubaguzi wa rangi (Apartheid). Sikiliza simulizi fupi ya maisha mwanaharakati huyo;