Waliokuwa wakitumia dawa za kulevya watuma ujumbe serikalini

0
438

Watumiaji wa dawa za kulevya Mkoani Morogoro  wameiomba serikali kuongeza mapambanao dhidi ya ungizaji na utumiaji wa dawa hizo  nchini  ili  kunurusu kundi la vijana ambao ndio nguvu kazi ya taifa  inayoathiriwa zaidi.