Rais wa TFF azungumzia sakata la matumizi ya fedha kutua TAKUKURU

0
1198

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema kuwa amefurahi suala la fedha zilizotolewa na Rais Dkt Magufuli limefika katika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).

Amesema kwa muda mrefu amekuwa akisemwa vibaya kuhusu matumizi ya fedha hizo kiasi cha shilingi bilioni 1, hivyo sakata hilo kutua TAKUKURU, litatoa ukweli na kumuweka huru.

Hapa chini ni mahojiano maalum aliyofanya na TBC kupitia kipindi cha Jaramba Wikiendi;