Madereva na makondakta wa daladala walia na mikataba ya kazi

0
740
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Leseni za Usafirishaji Dar es Salaam, David Mwaibula ndiye mbunifu na mwasisi wa mfumo wa kupaka daladala mistari kwa kutofautisha rangi.

Katika sehemu ya tatu ya simulizi yetu ya asili ya daladala, tunaangazi mfumo wa ajira.

Baadhi ya madereva na makondakta wa daladala wamesema licha ya umuhimu wa kazi yao lakini bado waajiri wao hawafuati maelekezo ya Serikali ya kuwapatia mikataba ya kazi na kuifanya kazi hiyo kama vibarua tu.

Fuatana na Gervas Mwatebela kwa taarifa zaidi;

——————————————————————————————————————-

Katika sehemu ya pili ya mfululizo wa makala yetu inayoangazia asili ya daladala, tunaangalia sababu ya daladala kuchorwa mistari ya rangi kulingana na eneo zinapofanya safari.

Kwa miaka mingi usafiri wa daladala ulikuwa hauna utambulisho wowote kwa wasafiri waliokuwa wakiutumia, yaani ilikuwa vigumu kwa abiria kujua mwelekeo wa safari ya basi bila kuuliza.

Jambo hili lilikuwa kero kwa watumiaji wa daladala ambapo madereva pamoja na makondakta walikuwa wababe kwenye kuamua safari.

Tafadhali ungana nasi katika kufahamu asili ya mistari kwenye daladala;

——————————————————————————————————————–

Kama hukufanikiwa kutazama sehemu ya kwanza ya mfululizo wa makala kuhusu asili ya daladala, unaweza kutazama sasa hapa chini;