Rais Magufuli aongoza kikao cha baraza la Mawaziri

0
225

Rais John Magufuli leo ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama.