Majogoo nje ligi ya mabingwa

0
1394

Liverpool wamevuliwa rasmi ubingwa baada ya kula kichapo cha mabao 3-2 dhidi ya Atletico Madrid.

Liverpool walianza vema mchezo huo walipofunga bao la kwanza dakika ya 43 kupitia kwa Georginio Wijnaldum mambo yakawa magumu zilipoongweza dakika 30

Jumla wanatolewa kwa kuchapwa mabao 4-2 dhidi ya wakali hao wa Hispania Atletico Madrid ambao wanasonga hatua inayofuata ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

PSG wao wamepindua matokeo na kusonga mbele wakishinda mabao 2 kwa bila dhidi ya Borrusia Dortmund na kufanya matokeo ya jumla kuwa mbao 3 kwa 2 ya Dortmund