Wanahabari wa TBC na uandishi wa vitabu

0
245

Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakifurahia kazi ya mikono yao baada ya kila mmoja kuandika kitabu vyenye muktadha mbalimbali.

Kutoka kushoto ni Victor Elia akiwa ameshikilia kitabu cha ‘Kiswahili katika Vyombo vya Habari’, Teonas Aswile na kitabu cha ‘Nguli wa Utangazaji Tanzania’ huku Mwanadada Elizabeth Mramba akiwa na Riwaya yake ya ‘Mtumwa kwenye Nchi Huru’