Waziri wa Madini Dotto Biteko ametoa rai kwa wachimbaji wadogo wa madini nchini kutumia uzoefu wa nchi nyingine kujiimarisha katika uwekezaji wa madini
Biteko ametoa rai hiyo katika mkutano wa kimataifa wa wawekezaji katika sekta ya madini kwa mwaka 2020 unaofanyika jijini DSM.