Chelsea warekebisha Makosa, waibuka na ushindi darajani

0
365

Chelsea the blues wameibuka na ushindi wa mabao 2 kwa 1 dhidi ya Tottenham Hotspur katika mchezo wa ligi kuu England

Mabao ya Chelsea yamefungwa na Olivier Giroud dakika ya 15 na bao la pili likifungwa na Marcos Alonso dakika ya 48

Bao pekee la Tottenham limepatikana dakika 89 baada ya mchezaji wa Chelsea, Antonio Rudiger kujifunga

Michezo inayoendelea sasa moja wapo ni Mechi ya Aston Villa timu ambayo anacheza nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Samatta dhidi ya Southampton katika dimba la St. Mary’s