Katani atimkia CCM

0
227

Mbunge wa jimbo la Tandahimba mkoani Mtwara kupitia Chama Cha Wananchi (CUF) Katani Ahmed Katani ametangaza kukihama Chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Katani ametangaza uamuzi huo wakati wa mkutano wa hadhara mjini Nanyamba na kupokelewa na Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally.