MUBASHARA: Rais kuwatunuku kamisheni maafisa wa JWTZ

0
374
Picha: Maktaba

Rais John Magufuli leo Februari 08 atawatunuku kamisheni maafisa wanafunzi 128 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), hafla inayofanyika Ikulu, Dar es Salaam.

Miongoni mwa maafisa hao wapya watakaotunukiwa kamisheni leo wapo waliopata mafunzo hapa chini, wengine wamesoma China na mataifa mengine duniani.

Baada ya maafisa hao kutunukiwa kamisheni watakuwa na cheo cha Luteni-Usu.

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja hapa chini;