KitaifaZungu ateuliwa kuwa Waziri, Simbachawene amrithi LugolaBy Hamis Hollela - January 23, 20200258ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais Dkt John Magufuli amemteua Mussa Azzan Zungu kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) akichukua nafasi ya Waziri George Simbachawene ambaye ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.Waziri wa mambo ya Ndani George Simbachawene