“Kama kuna Wizara inayonitesa ni Wizara ya Mambo ya Ndani” Rais Magufuli

0
243

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameelezea kusikitishwa kwake na utendaji mbovu wa wizara ya mambo ya ndani na kumtaka Waziri Lugola kujiuzulu katika wadhifa huo wa uwaziri