Bilioni 9.5 zatengwa kujenga viwanja vitatu vya mazoezi

0
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali itaanza kujenga na kukarabati viwanja vitatu vya mazoezi vya jijini Dar es Salaam, Dodoma na Geita, ambapo shilingi bilioni 9.5...

Rais wa TFF ateuliwa kuunda kamati maalum ya soka Afrika

0
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati Maalum ya kufanyia marekebisho mfumo wa Vyama vya Mpira wa Miguu vya Kikanda barani Afrika (AZA).Kamati hiyo imeundwa...

Mo akutana na uongozi Simba

0
"Nimefanya kikao na viongozi wa Simba SC kujua changamoto ziko wapi na namna ya kuzitatua, kikao kimeenda vizuri. Wanasimba tusife moyo tuendelee kushirikiana." ameandika Mohamed Dewji kwenye ukurasa wake wa InstagramJe, Wewe unaona changamoto...

Simba SC yaifuata Azam FC nusu fainali

0
Klabu ya soka ya Simba imetinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam baada ya kuibanjua Dodoma Jiji FC kwa Mabao 3-0 katika mchezo wa nne wa robo fainali ya...

Azan yaangukia pua mbele ya TBC

0
Timu ya soka ya Azan FC imeambulia kichapo cha mabao 4 kwa 3 dhidi ya timu ya soka ya TBC, TBC Warriors, katika mchezo wa kirafiki uliowakutanisha wanamichezo hao katika Uwanja wa Jakaya Kikwete...

Ihefu kuendeleza ubabe dhidi ya Yanga?

0
Ihefu SC imekuwa mwiba kwa Yanga SC kwa msimu miwili ambapo msimu uliopita walitibua rekodi ya Yanga ya kutopoteza michezo 49 baada ya kuifunga 2-1 katika Uwanja wa Highland Estate, Mbeya, ambapo Yanga ilihitaji...

Ni Mangungu tena

0
Murtaza Mangungu ametangazwa kuwa mshindi wa nafasi ya uenyekiti wa klabu ya Simba kwa mara nyingine tena, kufuatia uchaguzi mkuu wa klabu hiyo uliofanyika mkoani Dar es Salaam.Mangungu ametetea nafasi hiyo kwa kupata kura...

Stars wako tayari kwa mpambano na Equatorial Guinea

0
Kocha wa timu ya Soka ya Taifa (Taifa Stars), - Etienne Ndayiragije amesema kuwa, kikosi chake kina kibarua kigumu mbele ya timu ya Taifa ya Equatorial Guinea kwenye mchezo wa hatua ya makundi...

Rais Samia aongeza tiketi 5,000 kuiona Stars

0
Rais Samia Suluhu Hassan ameongeza tiketi alizotoa kwa ajili ya mashabiki kufikia 7,000 kutoka 2,000 za awali.Tiketi hizo zitakazotolewa kwa mashabiki ni sehemu ya hamasa ya Rais kuelekea mchezo wa marudiano kati ya Tanzania...

Yanga kuwakosa Ntibazonkiza, Sogne na Nchimbi

0
Timu ya Yanga itawakosa wachezaji Sadio Ntibazonkiza, Yacoub Sogne pamoja na Ditram Nchimbi katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Tanzania Prizons mzunguko wa pili mchezo utakaopigwa uwanja wa Nelson Mandela mkoani...