Soko la Hollywood kufunguka kwa wasanii wa Tanzania

0
Wasanii nchini hasa wa muziki na filamu wameahidiwa kufunguliwa milango zaidi katika soko na kiwanda kikubwa cha burudani duniani cha Hollywood nchini Marekani, ili kupata mafanikio katika kazi zao.Ahadi hiyo imetolewa nchini...

Mvua zaleta madhara makubwa nchini Uganda

0
Watu Wanane wamethibitika kufa nchini Uganda, baada ya kutokea kwa maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.Habari zaidi kutoka nchini Uganda zinaeleza kuwa, baadhi ya miili ya watu waliokufa imepatikana kwenye...

Tanzania na China kuongeza ushirikiano 2023

0
Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki amesema anatazamia kuona ushirikiano zaidi ukiendela kuongezeka baina ya China na Tanzania kutokana na mabadiliko ya hivi karibuni ya sera mpya ya China ya kuzuia na kudhibiti...

Philippines imemuita nyumbani Balozi wake aliyeko Canada

0
Serikali ya Philippines imemuita nyumbani Balozi wake aliyeko nchini Canada, ikiwa ni hatua ya kulipiza kisasi baada ya Canada kushindwa kuondoa taka kutoka nchini humo ilizozitelekeza.Philippines iliipatia Canada muda ili kuondoa makontena yake yenye taka yaliyosafirishwa kutoka...

Wanafunzi 14 wafariki kwa kukanyagana Kenya

0
Wanafunzi 14 wamefariki dunia huku wengine 39 wakijeruhiwa katika Shule ya Msingi Kakamega nchini Kenya kutokana na kukanyagwa na wenzao na kuanguka wakati wakikimbia.Ajali hiyo imetokea Jumatatu Februari 3 majira ya saa 11 joni...

Mkutano waitishwa kujadili kombora la Korea Kaskazini

0
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeitisha mkutano wa dharura kujadili hatua ya Korea Kaskazini kufanya jaribio la kombora la kisasa la masafa marefu, hatua ambayo imeelezwa kuwa ni ukiukwaji wa sheria za...

Emmanuel Macron ashinda Urais Ufaransa

0
Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameshinda kiti cha urais kwa muhula wa pili, kufuatia uchaguzi uliofanyika nchini humo na kumshinda mpinzani wake Marine Le Pen.Katika duru ya pili ya uchaguzi, Macron amepata...

Chama cha BJP chaongoza India

0
Matokeo ya awali ya uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi karibuni nchini  nchini India yanaonyesha kuwa,  chama cha BJP kinachoongozwa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Narenda Modi kinaongoza.Kufuatia matokeo hayo yanayompa matumaini ya kuliongoza taifa hilo la India kwa...

Baadhi ya Watanzania walioko China wasema wako salama

0
Baadhi ya Watanzania wanaofanya kazi na kusoma nchini China wamesema kuwa, wako salama na wanapata huduma muhimu kama kawaida licha ya kuwepo kwa tishio la virusi vya Corona.Wakizungumza kwa njia ya simu na TBC...

Davido kuchangia milioni 500 kwa yatima

0
Nyota wa muziki wa Afrobeat kutoka Nigeria, Davido ametangaza kuwa atachangia Naira milioni 300 (shilingi milioni 500) kwenye vituo vya watoto yatima nchini humo.Davido, ambaye jina lake halisi ni David Adeleke, kwa miaka ya...