Mwonekano wa watu mashuhuri tuzo za Oscar 2022

0
Picha za baadhi ya watu maarufu katika tuzo za 94 za filamu nchini Marekani (Oscar) mwaka 2022 ,zilizotolewa na Academy of Motion Picture Arts and Science (AMPAS) kwenye Ukumbi wa Dolby Theatre huko Los...

Mercedes – Benz wazindua gari linalotumia umeme pekee

0
Kampuni ya kuunda magari kutoka nchini Ujerumani ya Mercedes - Benz, imezindua gari jipya linalotumia nishati ya umeme peke yake lililopewa jina la EQXX.Gari hilo lina uwezo wa kutembea umbali wa maili 620, baada...

Mark Zuckerberg apata hasara trilioni 13

0
Utajiri wa mmiliki wa Kampuni ya Facebook, Mark Zuckerberg imeshuka kwa shilingi trilioni 13.8 kwa saa chache ambazo mtandao huo na kampuni tanzu za WhatsApp na Instagram hazikuwa hewa, Bloomberg imeripoti.Utajiri wake binafsi sasa...

Bruce Willis aachana na filamu

0
Familia ya mcheza filamu wa Marekani Bruce Willis imetangaza kuwa mwigizaji huyo mwenye umri wa miaka 67 anastaafu kuigiza filamu za kulipwa baada ya kubainika kuwa na Aphasia, ambayo ni changamoto ya matamshi inayosababishwa...

Justin Bieber afichua kuugua ugonjwa kupooza uso

0
Mwanamuziki raia wa Canada, Justin Bieber (28) amefichua kuwa anaugua ugonjwa wa kupooza usoni baada ya matamasha yake kuahirishwa wiki hii.Justin amethibitisha hayo kwenye video fupi katika ukurasa wake wa Instagram ambao una...

Chapati ‘Rolex’ yenye 204kg yavunja rekodi Uganda

0
Chapati ‘Rolex’ kubwa zaidi yenye kilo 204.6 (451 Ib) imepikwa na Raymond Kahuma na wenzake nchini Uganda na kuifanya ivunje rekodi ya ukubwa nchini humo.Raymond na wenzake wamefanya kazi ya maandalizi kwa miezi kadhaa...