Nini Tanzania inafanya kuendana na malengo ya viongozi wa Afrika?

0
Tanzania ni miongoni mwa nchi zaidi ya 40 zinazoshiriki mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu unaoendelea katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es Salaam.Akizungumza wakati wa...

Nyama yawakusanya wahadzabe Sensa

0
Wahadzabe wa kijiji cha Qangdend kitongoji cha Murusi wilayani Karatu mkoani Arusha, wakiwa wamejitokeza kuhesabiwa baada ya serikali kuwapatia mahitaji waliyoomba ya nyama pori.

Zungu, mgombea pekee nafasi ya Naibu Spika wa Bunge

0
Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihamba amesema kuwa Mussa Zungu ndiye mgombea pekee wa nafasi ya Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Katika taarifa yake, Nenelwa amesema hadi kukamilika kwa zoezi la...

Ashambuliwa na tembo na kufariki dunia

0
Arudwasha Titika, mkazi wa kijiji cha Alaitore kilichopo ndani ya hifadhi Ngorongoro mkoani Arusha amefariki dunia baada kushambuliwa na tembo.Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Arusha, Justine Masejo amesema uchunguzi wa awali umebaini...

Hakuna ubaguzi kisheria

0
“Sheria ya ardhi namba nne ya mwaka 1995 haijambagua mtu yoyote. Sheria ya ardhi ya vijiji namba tano ya mwaka 1995 haijambagua mtu yeyote, sasa wewe unayetuletea mila zinazobagua hizo umezitoa wapi? Hizi mila...

TFF yatangaza mabadiliko ya Katiba

0
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetangaza mabadiliko ya Katiba ya shirikisho hilo, ambayo pamoja na mambo mengine yanahusu mfumo wa uongozi.Mabadiliko hayo yametangazwa na Katibu Mkuu wa TFF, -Wilfred Kidao ambapo kwa mujibu wa...

Ashikiliwa kwa mauaji Singida

0
Jeshi la polisi mkoani Singida linamshikilia Naligwa John mwenye umri wa miaka 23 mkazi wa kijiji cha Mgundu wilayani Iramba kwa tuhuma za kumdhalilisha na kumkaba shingo hadi kufa mtoto mwenye umri wa...

CCM kuomboleza kwa siku 21

0
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza siku 21 za maombolezo, kufuatia kifo cha Mwenyekiti wa chama hicho Rais  Dkt John Magufuli.   Akizungumza na Waandishi wa habari jijini  Dodoma,  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa...

Rais Samia: Rasilimali watu Afrika inakabiliwa na changamoto nyingi

0
Rais Samia Suluhu Hassan leo amezindua Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) ambao uanatarajiwa kufanyika nchini Julai 25-26 mwaka huu jijini Dar es...