Rais Samia kutunukiwa Udaktari wa Heshima Uturuki

0
Chuo Kikuu cha Ankara ambacho ni cha pili kwa ukubwa nchini Utururki kinatarajiwa kumtunuku Rais Samia Suluhu Hassan Shahada ya Heshima ya Udaktari katika Uchumi ikiwa ni njia ya kutambua mchango wa uongozi wake...

Maporomoko ya udongo Geita yafunika mashamba

0
Zaidi ya ekari sita za mashamba ya mazao mbalimbali katika Mtaa wa Nshinde, Kata ya Nyankumbu nje kidogo ya Mji wa Geita zimeharibiwa na maporomoko ya udogo ambayo yametokana na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani...

Mke wangu ni mkaguzi hodari

0
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesema mke wake Mbonimpaye Mpango ni mkaguzi wa ndani na alikuwa mtumishi wa umma hadi pale yeye alipoteuliwa kushika wadhifa huo na kwamba kwa sasa bado anaifanya kazi...

Bajeti ya Bil 350/- Ofisi ya Waziri Mkuu yapita

0
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Aprili 15, 2024 limepitisha kiasi cha shilingi 350,988,412,000 kwa ajili ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zilizo chini yake kwa mwaka wa fedha...

Biteko: Mimi mfuatiliaji mzuri wa TBC2, Safari Channel

0
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema anafuatilia sana vipindi vinavyorushwa na Shirika la Utangazaji (TBC) kupitia idhaa zake mbalimbali.Ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa kituo cha kurushia matangazo ya...

Nimevuna magunia 35 ya mahindi kwa mara ya kwanza

0
"Mimi nilitoka hifadhi ya Ngorongoro kwa hiari bila kushurutishwa wala kushawishiwa na mtu na nilipofika Msomera kila kitu nilichoahidiwa nakiri nimepata hadi hati miliki. Na mwaka jana nimenufaika, nimepanda mahindi na kuvuna magunia 35...

Aeleza Bukoba ilivyonufaika miaka 3 ya Samia

0
Zaidi ya shilingi bilioni 15 zimetolewa na serikali kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera na kuchangia ukuaji wa sekta mbalimbali za kijamii na kiuchumi.Hayo yamebainishwa...

Ukabila usipewe nafasi – Kinana

0
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana amewasisitiza wanachama wa chama hicho na wananchi kwa ujumla kujitenga na tabia ya kukumbatia ukabila, akisema ni mambo ya kizamani, yanayowagawa wananchi.Akizungumza na wajumbe...

Wavushwa kwa fedha baada ya daraja kujaa maji

0
Wakazi wa Kijiji cha Budoda, Kata ya Masumbwe mkoani Geita inawalazimu kulipa shilingi 1,000 ili kuvushwa baada ya daraja katika kijiji chao kufunikwa na maji kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.Kaimu Meneja wa Wakala...

Nchimbi ahimiza miradi kusimamiwa vyema

0
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametaka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) pamoja na taasisi nyingine za umma zinazohusika na usimamizi wa miradi kuhakikisha wanazingatia ubora na thamani ya...