+
Bima ya simu za mikononi yazinduliwa
Kampuni ya simu ya AIRTEL kwa kushirikiana na kampuni ya bima ya UAP imezindua huduma ya AIRTEL SIMU BIMA ambayo inawawezesha wateja wenye simu za smartphone kukatia simu zao bima.  More..
3 days ago
Wafanyabiashara washauriwa kusajili biashara zao
Mkuu wa mkoa wa SHINYANGA ZAINABU TELECK ametoa wito kwa wafanyabiashara kujitokeza kusajili biashara zao ili ziweze kutambulika kisheria.  More..
3 days ago
KENYA washerehekea siku ya Mashujaa
+
Rais UHURU KENYATTA wa KENYA ameongoza mamia ya watu katika maadhimisho ya siku ya mashujaa nchini humo  More..
Mwanasheria Mkuu wa KENYA aahidi kupambana na RUSHWA
+
Mwanasheria Mkuu wa serikali ya KENYA, DAVID MARAGA amesema ameahidi kutoa kipaumbele katika mapambano dhidi y  More..
+
Waziri wa Elimu sayansi na Mafunzo ya Ufundi Profesa JOYCE NDALICHAKO ameiagiza bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kurejesha mfumo wa zamani   More..
15 hours ago
Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA ameuagiza Mfuko wa hifadhi ya jamii -NSSF kusimamia kikamilifu
Serikali inatarajia kuzindua mpango wa miaka mitano wa kitaifa wa kupinga ukatili kwa wana
ZAIDI KUTOKA ULIMWENGUNI
+
Wagombea urais nchini MAREKANI wanatarajiwa kukutana katika mdahalo wa tatu ambao ni wa mwisho kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu  More..
2 days ago
Polisi katika mji wa MANILA nchini UFILIPINO wamewatawanya waandamanaji waliokuwa wamekusa
Shirika la utangazaji la NBC nchini MAREKANI limemfukuza kazi mtangazaji mmoja ambaye amek
SAFARI YA DODOMA
CLUB RAHA LEO SHOW
+
Muimbaji JANET JACKSON amethibitisha rasmi kwamba anatarajia kujifungua mtoto wake wa kwanza akiwa na umri wa miaka 50
a week ago
+
Michuano ya ligi ya mabingwa ulaya imeendelea kwa michezo nane kupigwa ambapo Arsenal wameifunga timu ya Ludogorets Razgrad ya BULGARIA mabao SITA kwa
13 hours ago
+
Kocha wa timu ya taifa ya UGANDA, MILUTIN MICHO amesema,haziongopi timu za GHANA,MALI na MISRI ambazo zimepangwa pamoja katika kundi la D katika fain
14 hours ago
+
Kamati ya olimpiki Tanzania TOC imepanga kufanya uchanguzi wa viongozi wake watakaokaa madarakani kwa kipindi cha miaka minne DECEMBA 10 mkoani DODOMA
14 hours ago
+
BAO la dakika ya 84 la KIUNGO mshambuliaji wa SIMBA, MZAMIRU YASINI limeiwezesha timu hiyo kuibuka na ushindi dhidi ya MBAO FC kutoka MWANZA na kuende
14 hours ago
STORIES / MAKALA